Basic Words

33 phrases · Swahili with romanization, English and audio

  1. Ndiyo

    Yes

  2. Hapana

    No

  3. Tafadhali

    Please

  4. Asante

    Thank you

  5. Samahani

    Excuse me

  6. Nisamehe

    Sorry

  7. Ni sawa

    It’s OK / I’m fine

  8. Sielewi

    I don’t understand

  9. Nimeelewa

    I understand

  10. Nimemaliza

    I’m finished / Done

  11. Tafadhali subiri

    Please wait

  12. Subiri kidogo

    Just a moment

  13. Mtu mzima mmoja

    One adult, please

  14. Sina buking

    I don’t have a reservation

  15. Nina buking

    I have a reservation

  16. Msaada, tafadhali!

    Please help me

  17. Tafadhali rudia

    Once more, please

  18. Tafadhali sema polepole

    Please speak slowly

  19. Ninaongea kidogo tu

    I speak a little

  20. Unaongea Kiingereza?

    Do you speak English?

  21. Hii

    This one

  22. Hiyo

    That one (near you)

  23. Ile

    That one over there

  24. Hapa

    Here

  25. Hapo

    There

  26. Pale

    Over there

  27. Mimi

    I / me

  28. Wewe

    You

  29. Pamoja

    Together

  30. Sasa hivi

    Right now

  31. Mtu mmoja

    One person

  32. Watu wawili

    Two people

  33. Watu watatu

    Three people

More Swahili phrases

Browse all TravelPhrases languages